Gugai na wenzake watatu wamefikishwa mahakamani hapo leo Alhamisi wakikabiliwa na mashtaka 43 ikiwemo utakatishaji fedha, kughushi, pamoja na kumiliki mali wasiyoweza kuielezea.
Hatua hiyo imekuja baada ya jana kujisalimisha Takukuru siku moja baada ya kutangazwa dau la Sh 10 milioni kwa atakayetoa taarifa alipo.
No comments:
Post a Comment