Wednesday, March 5

MVUA YAZIBA MITAA KIBAO DAR



Mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar imeanza kuathiri baadhi ya maeneo ambapo kamera yetu imewanasa wakazi wa mtaa wa Mwananyamala B kwa Msisiri wakijaza kifusi katika moja ya barabara zilizojaa maji kiasi cha kuifanya ishindwe  kutopitika kama picha zinavyoonyesha.


Dereva wa bodaboda na abiria wake wakipita katika njia iliyojaa maji.


Maji yakitiririka kwa kasi katika katika mfereji mmoja uliopo Kijitonyama.


Wananchi wakijitahidi kuuondoa uchafu uliokwama maeneo yao.

UTABIRI WA HALI YA HEWA: