Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli akiwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia nchini Bi. Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia nchini Bi. Bella Bird leo Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli akimsindikiza Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia nchini Bi. Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2017.
w4, w5 na w6: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawari Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2017.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment