Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar,ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda wamefika mjengoni Clouds Media Group kutoa pole na kujionea athari zilizosababishwa na moto uliozuka jana asubuhi katika ofisi hizo zilizopo Mikocheni jijini Dar.Pichani wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bwa.Joseph Kusaga.
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar,ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda wakipata maelezo mafupi mara baada ya kufika katika jengo la Clouds Media Group kutoa pole na kujionea athari zilizosababishwa na moto uliozuka jana asubuhi katika ofisi hizo zilizopo Mikocheni jijini Dar.
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mh Paul Makonda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group Bwa.Joseph Kusaga mara baada ya kuwasili katika ofisi hizo kutoa pole na kujionea athari zilizosababishwa na moto uliozuka jana asubuhi katika ofisi hizo zilizopo Mikocheni jijini Dar.Pichani kati ni Mmoja wa Maafisa Uhusiano wa Kampuni hiyo Simon Simalenga
No comments:
Post a Comment