Thursday, November 2

Barua aliyoandika Nyalandu kwa Spika inasema haya


Dar es Salaam. Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu ameweka hadharani barua ya kujiuzulu ubunge aliyoiandika kwenda kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai tangu Oktoba 30.
Katika barua hiyo ambayo Mwananchi amepata nakala yake imeeleza hayo hapo juu.

No comments:

Post a Comment