Vijana wajadili uchaguzi Kenya
Wakati Kenya ikijiandaa na kinyang'anyiro kingine kikali cha uchaguzi kati ya mafahari wawili - Rais Uhuru Kenyatta na hasimu wake mkuu wa kisiasa Raila Odinga, Eric Ponda anawauliza vijana wa Mombasa wamejiandaa vipi kuhakikisha sauti yao inasikika na kuheshimiwa. Ni kipidi cha Vijana Tugutuke kutoka Pwani ya Kenya.
No comments:
Post a Comment