Friday, October 6

Manji atinga Kisutu, asubiria kwenye gari kuitwa mahakamani



Mfanyabiashara Yusuph Manji

Mfanyabiashara Yusuph Manji 
Dar es Salaam. Mfanyabiashara Yusuph Manji (41) amewasili kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili yakusomewa Hukumu hii leo Ijumaa.
Manji anakabiliwa na shtaka lakutumia dawa za kulevya na tayari upande wa mshtaka umeshatoa ushahidi na upande wa utetezi umeshatoa utetezi .
Hukumu inatarajia kutolewa leo Ijumaa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Cyprian Mkeha baada ya upande wa mashtaka na wa utetezi kufunga ushahidi.

No comments:

Post a Comment