Friday, October 20

MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU AMKABIDHI CHETI CHA PONGEZI AFANDE IBRAHIM SAMWIX

 Makamu wa Rais, Samia Hassan Suhuhu akimpa Mkono, Mkuu wa Kituo cha Ukaguzi wa Mabasi cha Ubungo, Ibrahim Samwix  katika wiki usalama barabarani iliyofanyika mkoani Kilimanjaro.Ikiwa ni pongezi kwa kusimamia vizuri sheria za usalama barabarani.

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Lameck Nchemba akimpa mkono Mkuu wa Ukaguzi wa Kituo cha Mabasi cha Ubungo, Ibrahim  Samwix  katika  Wiki Usalama Barabarani  iliyofanyika mkoani Kilimanjaro, Mkuu kituo cha mabasi ubungo alitunukiwa cheti cha  usimamizi wa sheria za usalama barabarani .

No comments:

Post a Comment