Ni vigumu kuamini! Raia wa Himatnaga, Gujarat nchini India, Devendra Suthar amebainika kuwa ndiye mtu aliye hai mwenye vidole vingi zaidi vya mikononi na miguuni. Devendra ambaye ni fundi seremala ana vidole 14 vya mikono na 14 vya miguuni hivyo jumla kuwa na vidole 28 hivyo kuweka rekodi katika Kitabu cha Kumbukumbu cha Dunia cha Guinness.
Ingawa katika shughuli zake za useremala vidole hivyo havimsumbui wala kumkwamisha katika ufanyaji wa...
Ingawa katika shughuli zake za useremala vidole hivyo havimsumbui wala kumkwamisha katika ufanyaji wa...
No comments:
Post a Comment