Wednesday, October 4

Hali ya kisiasa yaathiri uchumi Kenya

Rais Uhuru Kenyatta na mpinzani wake Raila Odinga
Image captionRais Uhuru Kenyatta na mpinzani wake Raila Odinga
Wasiwasi wa kisiasa nchini Kenya unapunguza ukuwaji katika sekta ya kibinafsi kufikia kiwango cha chini zaidi kuwahi kushuhudiwa kwa miaka mitatu.
Utafiti wa benki moja nchini unaonyesha kuwa wenye biashara wanaogopa kuwekeza huku wakisuburi matokeo ya marudio ya uchaguzi, na udhibiti wa viwango vya riba ukisababisha biashara nyingi kunyimwa mikopo.
Rais Uhure Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga wanatarajiwa kumenyana katika uchaguzi huo wa urais baadaye mwezi huu.
Bwana Odinga ametishia kutoshiriki .

No comments:

Post a Comment