Friday, October 6

Ghala la matairi la Superdoll lawaka moto


Dar es Salaam. Ghala la matairi ya magari la kampuni ya Superdoll lililopo Barabara ya Nyerere limeugua kwa moto.
Ghala hilo lililopo jirani na jengo la Quality Center limeungua leo Ijumaa mchana.


Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limefika eneo hilo la tukio na uokoaji wa mali umefanyika.

No comments:

Post a Comment