Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu, Mnyeti amesema tangu jana baada ya kung'oa jino anaumwa na hajui nani ametoa taarifa kuwa ataongea na waandishi.
"Mimi nikipona ndio nitaongea hizo taarifa za mkutano na waandishi sizijui," amesema.
Jana kupitia akaunti ya Twitter yenye jina lake alieleza atakutana na waandishi saa sita leo Jumatatu kujibu tuhuma zote huku akieleza video za Nassari sio za kweli.
No comments:
Post a Comment