Sunday, September 10

Takriban watu 90 wauawa kwenye tetemeko la ardhi Mexico

Aerial shot of damages housing reduced to rubble in Ixtaltepac, OaxacaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionTakriban watu 90 wauawa kwenye tetemeko la ardhi Mexico
Takriban watu 90 wameuwa kufuatia tetemeko la ardhi la uzito wa 8.1 katika vipimo vya richa nchini Mexico kwa mujibu wa maafisa.
Msemaji wa serikali alisema kuwa watu 71 walikuwa wameuawa katika jimbo lililo kusini magharibi la Oaxaca.
Mamia ya familia zimeripotiwa kushinda katika mitaa, zikihofia hatari za mitetemeko midogo.
Wanajiolojia nchini Mexico wanasema kuwa mitetemeko midogo 721 imerekodiwa tangu tetemeo kubwa la Alhamisi.
Tetemeko hilo lilikuwa la nguvu nyingi zaid kuwai kushuhudiwa nchini humo kwa karne moja.
Siku ya Ijumaa, pwani ya mashariki mwa Mexico ilikumbwa na dhoruba inayojulikana kama Katia.
Watu wawili walifariki kwenye maporoko ya udongo baada ya mvua kubwa.
Mudslide with house on top of an embankmentHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionTakriban watu 90 wauawa kwenye tetemeko la ardhi Mexico
A police tape ropes off area where people died in mudslideHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionTakriban watu 90 wauawa kwenye tetemeko la ardhi Mexico
Rescuers and army workers search in rubble in JuchitanHaki miliki ya pichaEPA
Image captionTakriban watu 90 wauawa kwenye tetemeko la ardhi Mexico
Injured people in hospital bedsHaki miliki ya pichaAFP/GETTY
Image captionTakriban watu 90 wauawa kwenye tetemeko la ardhi Mexico
Women work at stall providing aidHaki miliki ya pichaAFP
Image captionTakriban watu 90 wauawa kwenye tetemeko la ardhi Mexico
Mourners crying at a funeralHaki miliki ya pichaAFP/GETTY
Image captionTakriban watu 90 wauawa kwenye tetemeko la ardhi Mexico
People search rubble for their belongings in clean-up operationHaki miliki ya pichaAFP/GETTY
Image captionTakriban watu 90 wauawa kwenye tetemeko la ardhi Mexico
Man surveys damage to collapsed housesHaki miliki ya pichaAFP/GETTY
Image captionTakriban watu 90 wauawa kwenye tetemeko la ardhi Mexico
People sort through stockpilesHaki miliki ya pichaAFP/GETTY
Image captionTakriban watu 90 wauawa kwenye tetemeko la ardhi Mexico

No comments:

Post a Comment