Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Familia zaidi ya 10 za askari wanaoishi katika nyumba za polisi Kata ya Sekei mkoani Arusha zimewaka moto. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amesema chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Kazi ya kuzima moto huo inaendelea. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo pia yupo eneo la tukio.
No comments:
Post a Comment