Tuesday, September 26

Merkel asema ataendelea kuwa na msimamo


Kansela wa Ujerumani ,Angela MerkelHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionKansela wa Ujerumani ,Angela Merkel
Kansela wa Ujerumani ,Angela Merkel amesema kuwa chama chake hakitaegemea sera za mrengo wa kulia kujaribu kuwashawishi wapiga kura ambao walimuacha wakati alipokuwa anapambana na chama kinachopinga sera za uhamiaji cha AfD wakati wa uchaguzi wa jumapili.
Lakini Merkel amesema atajaribu awezavyo kurejesha Imani ya idadi kubwa ya watu ambayo walijisikia kutengwa.
Mafanikio ya chama cha mrengo wa kushoto cha AfD
Kimekiacha chama chake Merkel,CDC bila kuwa na na mshirika wa wazi kuunda serikali.
Merkel amesema alitaka kuunda serikali imara ambapo amezungumza na chama cha Liberals na Greens pamoja na So Social Democrats ambao walijitoa kuungana kwa mara nyingine na Christian Democrats.

Mada zinazohusiana

No comments:

Post a Comment