Wednesday, August 30

Watu 30 wafariki katika maporomoko DR Congo

Ramani ya DR Congo
Image captionRamani ya DR Congo
Takriban watu 28 wamefariki kufuatia maporomoko kusini mwa mji wa uchimbaji madini wa Kolwezi katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kulingana na chombo cha habari cha Actualite.
Eneo hilo ni muhimu kwa madini ya Shaba .
Maporomoko ya hivi karibuni katika eneo la kaskazini-mashriki yaliwaua watu 200, kufuatia mvua kubwa iliosababisha mlima kuangukia kijiji kimoja cha uvuvi katika fukwe za Ziwa Albert.

No comments:

Post a Comment