Baadhi ya Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Kinuni na Magogoni wakiwa katika shamra shamra wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele leo inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais akiwa katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi.
Baadhi ya Wananchi wa Kinuni na Magogoni wakiwa katika shamra shamra wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele leo inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais akiwa katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa,Idara Maalum za SMZ Nd,Radhia Rashid Haroub alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele leo inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais akiwa katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Kinuni na Magogoni leo alipofanya ziara ya kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco, katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZMhe.Haji Omar Kheir na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud,
[Picha na Ikulu.] 21/08/2017.
No comments:
Post a Comment