Wananchi nchini Kenya wamepiga kura katika Uchaguzi Mkuu jana asubuhi (Jumanne), wengi wakiwa wamewasili kwenye vituo vya kupigia kura usiku wa manane. Vituo vya kupiga kura vilifungwa kuanzia saa 11:00 jioni hii.
Katika vituo vyote vilivyotumika nchini Tanzania, Uhuru amepata kura (393), Odinga kura (394) ,Ekuru Aukot(2), Abduba Dida(2), Michael Waura(1), na wengine kukosa kura.
Katika vituo vyote vilivyotumika nchini Burundi Uhuru amepata kura (47), Odinga kura(48) ,Michael Waura(1), na wengine kukosa kura.
Katika vituo vyote vilivyotumika nchini Rwanda, Uhuru amepata kura (298) Odinga kura (255) , Joseph Nyagah(1) na wengine kukosa kura.
Katika vituo vyote vilivyotumika nchini Afrika Kusini, Uhuru amepata kura (358), Odinga kura (302) ,Ekuru Aukot(4),Michael Waura(2), Joseph Nyagah(1) na wengine kukosa kura.
Katika vituo vyote vilivyotumika nchini Uganda, Uhuru amepata kura (408), Odinga kura (322) ,Ekuru Aukot(2), Abduba Dida(3), na wengine kukosa kura.
Kwa upande wa kura zilizopigwa na Wafungwa, IEBC imesema Odinga(2,048), Uhuru(1,710),Nyagah(9), Dida(7), Aukot(4),Jirongo(2),Kaluyu(2),Mwaura(2).
No comments:
Post a Comment