Taarifa iliyotolewa leo na Ofisa Uhusiano wa Muhimbili, John Stephen ilieleza kuwa, Bulaya alifikishwa hospitalini hapo jana usiku. "Tulimpokea jana usiku,"alieleza kwa kifupi.
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amethibitisha pia kulazwa mbunge huyo MNH, "amelazwa private, Sewahaji, wodi namba 18," alisema Halima Mdee.
No comments:
Post a Comment