Wednesday, July 12

NAMNA WAZIRI WA FEDHA ALIVYOSHTUKIZA VITUO VYA MAFUTA KIGAMBONI



Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, ameamuru kufungwa kwa kituo cha Mafuta cha Mawenzi kilichoko Kigamboni hadi mmiliki wake atakaporekebisha kasoro baada ya kubaini kuwa mashine maalumu za Kieletroniki zilizofungwa kwenye pampu za mafuta kwa ajili ya kutolea risiti hazitumiki jambo ambalo ni kinyume cha sheria.

No comments:

Post a Comment