MKUU WA CHUO CHA AFYA CHA TUMAINI JIPYA MAFINGA ANA FURAHA KUWATANGAZIA KUWA CHUO KIMEANZA KUPOKEA MAOMBI YA MASOMO KWA MWAKA WA MASOMO 2017/18.
KOZI ZIFUATAZO:
1. CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE YAANI TABIBU MSAIDIZI KWA MIAKA MIWILI
2. CERTIFICATE IN COMMUNITY HEALTH (Uhudumu wa afya ngazi ya jamii) MWAKA MMOJA
MUHULA MPYA UTAANZA MWEZI SEPTEMBA, 2017.
YOTE HAYO YANAZINGATIA MWONGOZO WA WIZARA YA AFYA NA NACTE.
CHUO KIMESAJILIWA KWA USAJILI WA KUDUMU KWA NAMBA 144.
ADA ZETU NI NAFUU NA ZINALIPWA KWA AWAMU.
FOMU ZINAPATIKANA CHUONI TUMAINI JIPYA MAFINGA – IRINGA AU KWENYE WEBSITE YA CHUO.www.tumainijipya.ac.tz Kwa maulizo tafadhali wasiliana na chuo kwa namba 0755535301 AU 0625716530 AU 0754444151.

- Sifa za mwombaji: Awe na ufaulu wa kidato cha nne kwa angalau alama D nne yakiwemo masomo ya sayansi yaani Fizikia (Physics), Kemia (Chemistry) na Baolojia (Biology)
2. CERTIFICATE IN COMMUNITY HEALTH (Uhudumu wa afya ngazi ya jamii) MWAKA MMOJA
- Sifa za mwombaji: Awe na ufaulu wa kidato cha nne kwa angalau D nne likiwemo somo la Baolojia (Biology)
MUHULA MPYA UTAANZA MWEZI SEPTEMBA, 2017.
YOTE HAYO YANAZINGATIA MWONGOZO WA WIZARA YA AFYA NA NACTE.
CHUO KIMESAJILIWA KWA USAJILI WA KUDUMU KWA NAMBA 144.
ADA ZETU NI NAFUU NA ZINALIPWA KWA AWAMU.
FOMU ZINAPATIKANA CHUONI TUMAINI JIPYA MAFINGA – IRINGA AU KWENYE WEBSITE YA CHUO.www.tumainijipya.ac.tz Kwa maulizo tafadhali wasiliana na chuo kwa namba 0755535301 AU 0625716530 AU 0754444151.
No comments:
Post a Comment