NEWS ALERT: MWANAMICHEZO ALHAJ SHAABAN MINTANGA HAJULIKANI ALIPO, NDUGU WANAMTAFUTA
MWANAMICHEZO ALHAJ SHAABAN MINTANGA HAJULIKANI ALIPO, AMEPOTEA, SIKU YA TATU LEO TANGU AONDOKE NYUMBANI HAJARUDI.
KWA YEYOTE ATAKAEMUONA AU KUPATA TAARIFA ANITAFUTE KWA SIMU ZIFUATAZO.... 0675284391/ 0716663326/ 0719168547-
ASANTENI -
FAMILIA YA MZEE KIBINDA, KAWE DSM...
No comments:
Post a Comment