Mwanafunzi huyo, Anthony Petro (10) anayesoma katika Shule ya Msingi Ngunduzi wilayani Ngara Mkoa wa Kagera, amesema akiwa mwalimu atawasaidia watoto wengi kuelimika.
Anthony amesema kutokana na ndoto yake hiyo ameamua kusoma kwa bidii kwa kuwa anajiamini ana uwezo wa kufanya vizuri.
No comments:
Post a Comment