Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiwa wamesimama wakati nyimbo za Taifa za nchi zao pamoja na wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zikipigwa kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiwa na Mke wa Rais wa Uganda Mama Janeth Museveni wakati nyimbo za taifa zikipigwa kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha ujumbe alioongozana nao kwa mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni huku wake zao wakifurahia baada ya viongozi hao kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiongozana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere baada ya kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakisalimiana na viongozi wa kampuni ya Total ya Ufaransa wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta wakiweka jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment