Tanzania na Barrick Gold Corporation zilifikia makubaliano Oktoba 19,2017 na kutia saini mkataba wa kutekeleza mwelekeo mpya wa namna kampuni hiyo itakavyoendesha biashara ya madini ya dhahabu yanayochimbwa katika migodi yake nchini.
Makubaliano mengine ni kulipa takriban Sh700 bilioni za kuonyesha nia njema ya kufidia madai ya upotevu wa mapato yaliyotokana na biashara hiyo.
Imeelezwa tukio hilo litafanyika Ikulu jijini Dar es Salaam kuanzia saa tano asubuhi na kurushwa moja kwa moja na vyombo vya habari vya redio, televisheni na mitandao mbalimbali.
No comments:
Post a Comment