Saturday, October 7

TAIFA STARS ZAFUNGANA SARE YA 1-1 NA TIMU YA MALAWI,MECHI BADO INAENDELEA UWANJA WA UHURU


Nahodha wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta akiondoka na mpira mbele ya Mabeki wa Malawi.

Mmoja wa Wachezaji wa timu ya Tanzania (Taifa Stars) akimchomoko mchezaji wa timu ya Taifa ya Zambia,ambapo mpaka sasa kipindi cha pili timu hizo zimefungana sare ya 1-1 na mpira unaendelea katika uwanja wa Uhuru,jijini Dar.
 Kikosi cha timu ya Taifa Stars
 Waziri wa Habari,Utamaduni ,sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe akiikagua timu ya Taifa Stars kabla ya mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya timu ya Malawi kuanza jioni ya leo katika uwanja wa Uhuru,jijini Dar
 Wimbo wa Taifa Ukipigwa

Kikosi cha timu ya Malawi.

No comments:

Post a Comment