Matumizi ya nguvu kutoka kwa polisi
Katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa Kenya, wapo raia walioshuhudia maafisa wa usalama nchini humo wakiwapiga wananchi na hata kuwaua wengine. Katika makala ya Mbiu ya Mnyonge, Shisia Wasilwa aliyeko Nairobi anazungumza na familia za wahanga na wanaharakati wa haki za binadamu.
No comments:
Post a Comment