Kaimu RTO mkoa wa Kilimanjaro ASP Willy Mwamasika. akiwa kayikabayendi kuu ya amkoani Kilimanjaro alipokuwa akitekeleza moja ya majukumu kabla magari hayajaondoka kulelekea mikoani .Picha na Vero Ignatus Blog.
Baadhi ya Mabalosi wa usalama barabarani (RSA) wakiwa katika stendi kuu ya mabasi Mkoani Kilimanjaro wakiwa wanatoa elimu kwa abiria kabla ya mabasi kuondoka kuelekea mikoani.Picha na Vero Ignatus Blog.
Wakaguzi wa magari na wasaili wa Madereva wakiendesha ukaguzi wa magari stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani Moshi Kilimanjaro leo.Picha na Vero Ignatus Bog.
Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa barabara Sumatra SACP Johansen Kahatano ASP Willy Mwamasika .Mkurugenzi wa Habari Elimu na Mawasiliano kutoka Taasisibya Mabalozi wabUsalama Barabarani Augustus Fungo
Koplo Peter akiwa na mabalozi wa usalama barabarani stendi kuu ya mabasi Moshi mkoani Kilimanjaro.Picha na Vero Ignatus Blog.
Mabalozi wa Usalama barabarani (RSA)wakizungumza na Ibrahim Shayo (aliyevaa kofia) ambae ni mmiliki wa nabasi ya Ibra Line.Picha na Vero Ignatus Blog.
Mabalozi wa Usalama barabarani ,Afisa mfawidhi sumatra mkoa wa kilimanjaro Johns Makwale aliyevaa kizibao cha njano wakiendelea kutoa Elimu katika Stendi kuu ya mabasi mkoani Kilimanjaro.Picha na Vero Ignatus Blog.
Mkurugenzi uthibiti usafiri wa barabara sumatra SACP Johansen Kahatano,ASP Willy Mwamasika ,Afisa Pazzy kutoka Sumatra wakiendelea kukagua magari katika Stendi kuu ya Mabasi Moshi Kilimanjaro.Picha na Vero Ignatus Blog.
Mmoja wa Abiria akiwa amebanda siti ya mbele akiwa amepakata mzigo mkubwa ambao ni hatari kwake na dereva pia kama alivyokutwa leo na Blog hii.
Mabalozi wa usalama barabarani wakiwa katika stendi kuu ya mabasi Moshi mkoani Kilimanjaro wakiendelea kutoa elimu kwa abiria pamoja na makondakta/abiria kuhusiana na Usalama barabarani.Picha na Vero Ignatis Blog.
Balozi Elizabeth Maembe akitoa elimu kwenye moja ya mabasi yaendayo mikoani katika stendi kuu ya mabasi Moshi mkoani Kilimanjaro .Picha na Vero Ignatus Blog.
Na.Vero Ignatus Blog
Na.Vero Ignatus Blog
Jeshi la polisi Kitengo cha Usalama barabarani kwa kusirikiana na wadau wa usalama barabarani wamefanya zoezi la ukaguzi wa magari stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani na kugundua makosa mbalimbali yanayofanyawa na madereva pamoja na makondakta.
Akizungumzia zoezi hilo Kaimu RTO mkoa wa Kilimanjaro ASP Willy Mwamasika amesema kuwa zoezi hilo ni endelevu na wameliendesha kwa muda mrefu sasa ambapo amesema magari ambayo yamekutwa na makosa yanatozwa faini na mengine Kupelekwa kituoni au kufunguliwa mashtaka .
Amewataka wamiliki wa mabasi yanayosafirisha abiria wanapobadili ratiba zao wakumbuke na kufuta kwenye magari yao ili wasiwachanganye abiria wanaposafirikauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “Zuia Ajali Tii Sheria Okoa Maisha”.
Mkurugenzi wa Elimu Habari na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Usalama barabarani (RSA)Augustus Fungo amesema kuwa zoezi hilo limekuwa zuri kwani limefanyika sambamba na mihimili mikuu ya usalama barabarani ikiwemo Polisi,Sumatra na Jeshi la zima moto pamoja na wadau mbalimbali wa usalama barabarani .
Kwa sasa zoezi hili ni msisitizo katika wiki ya nenda kwa usalama barabarani lengo kupeana elimu ya usalama na usafirishaji ,kukumbushana wajibu wetu barabarani kqa abiria na dereva ,kuwachukulia hatua wale amabao anavunja sheria za uaalama barabarani
Huku akisema kauli mbiu yao Mabalozi wa Usalama barabarani n#Safiri Salama Ajali sasa basi#”
No comments:
Post a Comment