Tuesday, September 26

BASI LA TASHRIFF LILILOKUWA LIKITOKA TANGA - DAR LAUNGUA KWA MOTO PONGWE - TANGA


Basi la Tashriff lililokuwa likitokea Tanga - Dar es Salaam limewaka moto majira ya saa 8 mchana eneo la Pongwe, Tanga. Kwa mujibu wa taarifa za awali chanzo cha moto huo hakijafahamika japo hakuna mtu aliyezurika japo mizigo yote imeungua.
Kikosi cha Zima Moto na Uokoaji Mkoani Tanga wakiendelea na zoezi la uokoaji na kuzima moto kwenye basi hilo. 

No comments:

Post a Comment