Wakati serikali ikisisitiza kwamba zoezi la kuwaondoa watu karibu na hifadhi ya Serengeti lazima liendelee, jamii ya Wamaasaia wa eneo hilo wameiambia BBC kwamba wako tayari kutoa uhai wao wakiilinda ardhi yao.
Mwandishi wetu Sammy Awami alitembelea eneo hilo na kutuandalia taarifa ifuatayo
No comments:
Post a Comment