Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlama ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde Msika (wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa wageni waliotembelea banda lao wakati wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kikanda katika viwanja vya Nzunguni Mkoani Dodoma.
Afisa wa Mamlama ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Aminah Kisisa akigawa vipeperushi kwa moja ya wadau waliotembelea Banda la SSRA kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati.
Afisa wa Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlama ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ally Masaninga akifafanua kwa mmoja ya wadau waliotembelea banda la Mamlaka hiyo wakati wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati.
Sehemu ya wafanyakazi wa SSRA wakati wa Maonesho ya Nanenane
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlama ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde Msika, akimkabidhi mfuko wa SSRA pamoja na Vipeperushi Mratibu wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati Bw, Mwinuka, Maonesho hayo yanaendelea Mkoani Dodoma
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlama ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde Msika akiwa na wadau waliotembelea Banda la SSRA wakati wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati.
Timu ya Mamlama ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) katika picha ya pamoja wakati wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati yanayofanyika katika Viwanja vya Nanenane Mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment