WAZIRI DKT. MWAKYEMBE AKUTANA NA WADAU WA SOKA NCHINI KUJADILI NAMNA YA KUENDELEZA MCHEZO HUO HAPA NCHINI.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na baadhi ya Wadau wa mpira wa miguu kuhusu namna bora ya kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Viongozi Wastaafu wa mpira wa miguu nchini wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa majadiliano ya namna bora ya kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es salaam. Wa kwanza kulia ni Rais wa Heshima wa TFF na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Shrikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF).
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (aliyekaa katikati) baada majadiliano ya namna bora ya kukuza na kendeleza mpira wa miguu leo jijini Dar es salaam.
(Picha na Eleuteri Mangi-WHUSM)

No comments:
Post a Comment