Akidhibitisha tukio hilo Mganga Mkuu wa hospitali Frank Jacob amesema kwamba ajali hiyo imetokea leo asubuhi
Gari hilo lilikuwa limebeba wanafunzi lilipata ajali eneo la masika baada ya kugonga treni na kuburuzwa umbali wa takriban mita 50 toka yalipo makutano ya reli na barabara.
No comments:
Post a Comment