Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Muheza, Mhe. Balozi Adadi Rajabu (kulia) akizungumza pale ujumbe wa Wabunge kutoka Bunge la Canada ambao ni Wajumbe wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada ulipotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma, ukiwa na lengo la kubadilishana uzoefu katika utendaji wa kazi baina ya Mabunge hayo. Ujumbe huo uliongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada ambae pia ni Mbunge, Ndg. Yasmin Ratansi (wa pili kushoto), kushoto ni Mjumbe wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada ambae pia ni Mbunge, Ndg. Kerry Diotte na wa pili kulia, ni Katibu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada Ndg. Remi Bourgault.
Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada ambae pia ni Mbunge, Mhe. Yasmin Ratansi (wa pili kushoto) akizungumza pale ujumbe wa Wabunge kutoka Bunge la Canada ambao ni Wajumbe wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada ulipotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma, ukiwa na lengo la kubadilishana uzoefu katika utendaji wa kazi baina ya Mabunge hayo, kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dotto Biteko, anaefuta ni Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Muheza, Mhe. Balozi Adadi Rajabu , kushoto ni Mjumbe wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada ambae pia ni Mbunge, Mhe. Kerry Diotte na katikati ni Katibu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada Ndg. Remi Bourgault.
Ujumbe wa Wabunge kutoka Bungela Canada ambao ni Wajumbe wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada walipotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na Mhe.Yasmin Ratansi (watatu kushoto), Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Muheza, Mhe. Balozi Adadi Rajabu (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dotto Biteko (wanne kushoto) na Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (wa tatu kulia). Ujumbe ukiwa na lengo la kubadilishana uzoefu katika utendaji wa kazi baina ya Mabunge hayo.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment