Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga Pamoja na uteuzi wa wa Mwenyekiti na Wajumbe wapya watakaounda Kamti ya Mashindano ya Klabu hiyo kwa ajili ya msimu mpya wa 2017/18.
Makamu Mwenyekiti Clement Sanga amemrejesha Magid Suleiman ambaye atakuwa Mwenyekiti akisaidiwa na makamu Mustapha Urungu huku wakiteuliwa wajumbe wapya 10.
Sanga atafanya kikao cha kwanza na kamati hiyo siku ya jumamosi Saa 4 asubuhi, Makao Makuu ya klabu,jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment