Taarifa kwa vyombo vya habari iliyosainiwa na Msemaji wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Rebecca Kwandu ilisema kwamba uamuzi huo ni baada ya uongozi kushindwa kutekeleza majukumu yao ya msingi waliyopewa ya kumshauri Waziri wa Nchi Tamisemi juu ya uendeshaji wa Soko hilo.
No comments:
Post a Comment