Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye maadhimisho ya 41 ya biashara ya kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba leo Jijini Dar es salaam
Farasi awa kivutio kwa watoto wengi wajitokeza kupiga picha.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mpakani wakiwa wamekuja kutembelea maadhimisho ya 41 ya biashara ya kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba leo Jijini Dar es salaam
Wananchi wakiwa wametembelea banda la Mifugo na uvuvi na kuangalia namna samaki aina ya kambale wanavyofugwa maadhimisho ya 41 ya biashara ya kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba leo Jijini Dar es salaam.Picha na Team Michuzi Sabasaba.
No comments:
Post a Comment