Zakayo amefariki leo, Julai 19 baada ya kufanya uhakiki wa taarifa zake za utumishi na kubaini kuna makosa katika jina lake.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Rachel Chuwa amesema chanzo cha kifo cha Zakayo hakijajulikana.
Amesema mtumishi huyo alienda kuhakikiwa taarifa zake na aligundua kuna tofauti ya jina kwenye nyaraka zake kulinganisha na zilizo katika kitambulisho cha Taifa.
"Alikuja kutoka kijijini akiwa mzima, baada ya kuona utata katika taarifa zake alionekana kama mtu aliyechanganyikiwa,” amesema.
Amesema alikufa umbali mfupi kutoka eneo la ukaguzi akiwa katika kibanda cha huduma ya fedha kwa njia ya mtandao.

No comments:
Post a Comment