Monday, July 24

Aslimia 84 ya vituo vya afya havipati ruzuku, mikopo




Mkurugenzi wa Mfuko wa Mikopo Afrika Mashariki, Evelyne Gitonga amesema asilimia 84 ya vituo vya afya Tanzania havifanyi vizuri kutokana na kukosa ruzuku serikalini na kutofikiwa na mikopo.
Gitonga ameyasema hayo leo Jumatatu, Julai 24 kwenye mkutano wa Afrika Mashariki wa kuboresha sekta ya afya, mkutano ambao  mgeni rasmi ni Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete.
“Kukosekana kwa mikopo na fedha za kujiendesha husababisha kutoa huduma chini ya kiwango na hali hii husababisha wanaovitegemea vituo hivyo vya afya waendelee kuteseka,” amesema

No comments:

Post a Comment