Kufukuzwa kazi kwa makamu rais Emmerson Mnangagwa mwenye umri wa miaka 75, kunaweza kufungua njia kwa mke wa Mugabe Grace kuwania kiti hicho ambaye alishatangaza nia yake katika miaka miatatu iliyopita.
Serikali ilitangaza jumatatu kwamba Mnangagwa amefukuzwa kazi mara moja.
Kuachishwa kwake kazi kumeelezewa na waziri wa habari Simon Kaya Moyo alipozungumza na VOA kwamba ni kkutokana na kuwa alionyesha tabia za kukosa uzalendo na uaminifu hasa kwa Rais.
No comments:
Post a Comment