Thursday, October 5

PSPF YATOA SOMO LA KUJIUNGA NA MFUKO HUO KATIKA MKUTANO 33 WA ALAT


Msemaji wa mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF , Msafiri Mugaka akizungumza na Wajumbe wa mkutano wa 33 wa Mamlaka ya Serikali za Mitaaa(ALAT) Juu ya umuhimu wa kujiunga na mfuko huo na faida zake pindi watakapofikia umri wa kustaafu



 Wajumbe wa Mkutano huo kutoka Mkoa wa Songwe wakiongozwa na Mbunge wa Ileje , Janeth Mbene wakifuatilia mada kutoka kwa msemaji wa PSPF



Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Alat wakifatilia mada kutoka kwa Msemaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Juu ya umuhimu wa kujiunga na mfuko huo

No comments:

Post a Comment