Lulu ameeleza hayo leo Jumatatu akijitetea katika kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili. Anakabilia na kesi hiyo baada ya Kanumba kufariki dunia.
Lulu amesema, “Nilipotoka nje kuongea na simu Kanumba alinifuata kujua naongea na nani. Kanumba alinikimbiza hadi nje akiwa amevaa taulo. Kwa vile Kanumba ni maarufu nilijua nikikimbilia nje ataogopa kunifuata na taulo.”
No comments:
Post a Comment