Ndovu tisa wameuawa kwa kupiwa na umeme kati kati mwa Botswana baada ya kuangusha nyaya za umeme walipojaribu kunywa maji kutoka na bomba lililokuwa likivuja, kwa mujibu wa shirika la Reuters.
Ndovu hao wate walikuwa wanajaribu kulifikia bomba hilo linalopeleka maji katika kijiji cha Dukwi wakati ajali hiyo ilitokea, mkurugenzi wa shirika la wanyama pori Otisitswe Tiroyamodimo alisema.
- Utafiti: Ndovu ndio mnyama anayelala kwa muda mfupi zaidi duniani
- Nyani azima umeme kwa karibu masaa 6 nchini Zambia
"Bado uchunguzi unaendelea, lakini tumegundua kuwa ndovu hao walikuwa wakijaribu kunywa maji kutoka kwa bomba lililokuwa likivuja."
Kuna kati ya ndovu 150,000 na 200,000 nchini Botswana,
No comments:
Post a Comment