Monday, August 21

Serikali yaanza kuzihakiki NGO


Serikali leo imezindua rasmi zoezi la uhakiki wa mashirika yote yasiyo ya serikali (NGO) nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma mapema leo asubuhi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Sihaba Mkinga amesema zoezi hilo linaanza leo hadi Septemba 4, mwaka huu.
Ameongeza kuwa, baada ya hapo Serikali itachukua hatua Kali dhidi ya NGO zote zitakazobainika kufanya kazi bila usajili.

No comments:

Post a Comment