Watu 44 waliolazwa wamewekwa kwenye chumba maalumu
Mbarali.Watu wanne wamefariki dunia na wengine 44 wamelazwa katika Hosptali ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya baada kuibuka ugonjwa wa Kipindupindu katika Kata ya ubaruku.
Mkuu wa Wilaya hiyo, Reuben Mfune amesema leo Ijumaa, Agosti 4 kuwa chanzo cha ugonjwa huo ni matumizi mabaya ya maji ya mito iliyokuwa imefungwa kwa ajili ya kunywesha mifugo na shughuli za kijamii.
No comments:
Post a Comment