Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa wapili kushoto akikabidhi, khanga ambazo kwaajili ya kinamama na watoto waliopo gerezani kwa mkuu wa gereza la Segerea, Kamishna Msaidizi wa magereza, Godfrey Kavishe kulia ikiwa ni moja ya vitu vyenye thamani ya milioni nane (8,000,000) vilivyotolewa kwa wafungwa wanawake na watoto wa gereza hilo na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo. Katikati ni Mkaguzi msidizi wa magereza, Esther Mpotola, Mrakibu wa Magereza, Adeline Mgamtwa na Meneja Uhusiano wa Wawekezaji wa Benki hiyo, Hilda Rwanshane.
![]()
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa wapili kushoto akiwa katika pichaya pamoja na mkuu wa gereza la Segerea, Kamishna Msaidizi wa magereza, Godfrey Kavishe mbele ikiwa ni moja ya vitu vyenye thamani ya milioni nane (8,000,000) vilivyotolewa na benki ya CRDB kwa wafungwa wanawake na watoto wa gereza hilo.Katikati ni Mkaguzi msidizi wa magereza, Esther Mpotola, Mrakibu wa Magereza, Adeline Mgamtwa na Meneja Uhusiano wa Wawekezaji wa Benki hiyo, Hilda Rwanshane.
![]()
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa wapili kushoto akikabidhi boksi la maziwa ya unga na baadhi ya vitu vya michezo ya watoto kwa mkuu wa gereza la Segerea Kamishna Msaidizi wa magereza Godfrey Kavishe kulia ikiwa ni moja ya vitu vyenye thamani ya milioni nane (8,000,000) vilivyotolewa kwa wafungwa wanawake na watoto wa gereza hilo na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo. Katikati ni Mkaguzi msidizi wa magereza, Esther Mpotola, Mrakibu wa Magereza, Adeline Mgamtwa na Meneja Uhusiano wa Wawekezaji wa Benki hiyo, Hilda Rwanshane.
![]()
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa wapili kushoto akikabidhi, Mashine za dawa ya kuulia wadudu kwa mkuu wa gereza la Segerea, Kamishna Msaidizi wa magereza, Godfrey Kavishe kulia ikiwa ni moja ya vitu vyenye thamani ya milioni nane (8,000,000) vilivyotolewa kwa wafungwa wanawake na watoto wa gereza hilo na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo. Katikati ni Mkaguzi msidizi wa magereza, Esther Mpotola, Mrakibu wa Magereza, Adeline Mgamtwa na Meneja Uhusiano wa Wawekezaji wa Benki hiyo, Hilda Rwanshane.
No comments:
Post a Comment