UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na OFISI YA UBALOZI watauza kwa mnada wa hadhara Funicha za nyumbani na Generator tarehe 29 Julai, 2017 Jumamosi saa 4:00 asubuhi.
Mnada utafanyika Golden Resort Sinza,
Lion Street, Dar es salaam.
Fanicha na Computer zitaanza kuuzwa kuanzia saa 4:00 asubuhi:
Sofa sets, Recliner, Sofa Bed, Wing chairs, Chest drawers, Dressers, Mirror, Credenza, Entertainment Centre, Coffee table, Book case, Meza za chakula / Viti, Meza za ofisi, Carpet, Vitanda ,Magodoro, Fridge, Freezer, Music system, TV, Jiko la umeme, Washer, Dryer, Heavy duty Tread mill, Computer set, Photocopy m/c, File cabinet, safe, A/c Split unit, Refrigerant Reclaim System na vingine vingi.
Generator Zitaanza kuuzwa saa 6.00 mchana:
Idadi
|
Aina
|
Model
|
Mwaka
|
Ushuru
|
3
|
Generator 40 & 60 KVA
|
Perkins Diesel Engine
|
2001/ 2004
|
Bado
|
Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza,Lion Street tarehe 26 hadi 28 Julai, 2017 kuanzia saa 4:00. asubuhi mpaka saa 11:00 jioni.
MASHARTI YA MNADA:
- Mnunuzi wa Fanicha atatakiwa kulipa malipo yote kwa keshia (cashier). Na mnunuzi wa Generator atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 4 za kazi mwisho wa kulipa tarehe 3 August 2017, saa 10:00 jioni. Ukishindwa kulipa kwa muda huo generator litauzwa kwa mshindi mwingine aliyefata na dhamana haitarudishwa.
- Mali zote zitauzwa kama zilivyo bila dhamana.
- Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru na kodi zingine zote.
- Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa baada ya kulipa malipo yote pamoja na kodi
- Kila mtu atatakiwa kuwa na bid namba itakayo patikana getini.
Kwa maelezo zaidi waone:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE
PLOT NO. 5 “E” LION STREET SINZA
E-mail: universalauction@hotmail.com
DAR ES SALAAM.
No comments:
Post a Comment