Friday, November 10

Tanzania ni kinara kwa uzalishaji wa nazi barani Afrika



Tanzania ni kinara kwa uzalishaji wa nazi barani Afrika

Tanzania ni mzalishaji namba moja wa nazi barani Afrika na namba kumi na moja duniani,
Licha ya uzalishaji huu bado haikidhi mahitaji ya soko lake na jirani zake wa afrika mashariki na wakati mwingine huagiza nazi kutoka nje ya nchi.
Huku wakulima wakilalamikia kukosa usaidizi toka kwa maafisa ugani na wanadai ndiyo sababu ya kufifia kwa uzalishaji.
Mwandishi wa BBC,Sammy Awami ametuandalia taarifa ifuatayo;

No comments:

Post a Comment