Sunday, November 5

Marekani: Vikosi vya nchi kavu ndivyo vinaweza kuivamia Korea Kaskazini

Marekani: Vikosi vya nchi kavu ndivyo vinaweza kuivamia Korea KaskaziniHaki miliki ya pichaAFP
Image captionMarekani: Vikosi vya nchi kavu ndivyo vinaweza kuivamia Korea Kaskazini
Maafisa kutoka makao makuu ya ulinzi nchini Marekani, wanaamini kuwa uvamizi wa kutumia vikosi vya Marekani vya nchi kavu, itakua njia pekee ya kupata na kudhibiti maeneo ya nyuklia ya Korea Kaskazini.
Ripoti hiyo ilikuja kwenye barua iliyotolea na makao makuu ya ulinzi nchini Marekani, kujibu ombi la bunge la kutaka kufahamu kuhusu maafa yanayoweza kutokea ikiwa mzozo utalipuka na Korea Kaskazini.
Pia barua hiyo pia ilionya kuwa Korea Kaskazini anaweza kugeuka na kuwa eneo lenye silaha za kibaolojia na kemikali wakati wa vita.

No comments:

Post a Comment