Kwa Picha: Kuapishwa kwa rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amekula kiapo cha kuchukua uongozi katika uwanja uliojaa umati mkubwa wa watu katika mji mkuu wa Harare
Tunatazama picha za sherehe hiyo na umati mkubwa uliokongamana katika uwanja huo wa kitaifa wa michezo.
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionUwanja wa michezo unaobeba watu 60,000 ulijaa huku raia wa Zimbabwe wakitaka kushuhudia kuapishwa kwa rais mpya.Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionKuapishwa kwa bwana Mnangagwa kunafuatia kuondoka madarakani kwa Robert Mugabe baada ya kuwa mamlakani kwa takriban miaka 37Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionBwana Mnangagwa alikuwa makamu wa rais wa Kwnaza ambaye alifutwa kazi mapema mwezi huu hatua iliosababisha jeshi kuingilia kati na kumshinikiza Mugabe kujiuzuluHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionbwana Mnangagwa, ambaye alilitoroka taifa hilo alirudi kutoka mafichoni siku ya Jumatano tarehe 21 NovembaHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionRais mpya na mkewe AxiliaHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionBwana Mnangagwa amekuwa katikatiu ya urtawala wa Mugabe kwa takriban miaka 37Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionMkuu wa jeshi jenerali Constantino Chiwenga, mtu aliyeongoza mapinduzi ya Robert Mugabe akitazama kuapishwa kwa MnangagwaHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionBwana Mnangagwa anashirikishwa na wengi na mabaya yaliofanyika chini ya utawala wa Zanu-PfHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionKatika hotuba yake alimsifu mtangulizi wake Robert MugabeHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionPia aliahidi kuwatumia raia wote wa Zimbabwe , sio wanachama wa Zanu Pf pekee.Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionViongozi kutoka mataifa jirani ya Zimbabwe walihudhuriaHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionAlikuwa waziri wa zamani wa ulinzi , usalama na amekuwa na uhusiano wa karibu na JeshiHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionJeshi liliingilia kati na kumng'atua mamlakani Robert MugabeHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionUmati mkubwa wa watu ulifurahia wakati wa kupigwa kwa mizingia 21 kama heshima ya kumkaribisha rais mpya huku ndege za kijesh zikiwa anganiHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionRaia wengi wa Zimbabwe waliunga mkono hatua ya jeshi ya kuingilia kati kumuondoa Mugabe
No comments:
Post a Comment